Ushauri: Harmonize acha kuandika Kiingereza

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri.

Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli Mbovu na zisizo na maana kwa wanaojua English pekee.



BADILIKA MKUU.
 
Amejitahidi, tena hongera kwa kuthubutu na si lazima ujue kila kitu. Woga wetu ndio unaotufanya tusijue pia na kukatishana tamaa. Cha msingi umeelewa. Shame on you also for looking only in errors and understanding.
Hakika mkuu ndio maana kwa watoto huwa ni wepesi sana kujua ENGLISH wao wananyoosha tuu Iwe Broken iwe nn 😃 na wala hawaoni aibu mpka wanakijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…