Habr zenu wanadungu.. Naombeni ushauri juu ya course hizo mbili yaan Human resourse na PA. Nahtaji kufanya specialization katka course mojawapo kat ya hizo
Duh kumbe unasoma, kwa IQ yako hapa JF hustahili kusoma hata moja kati ya hizo.
Duh kumbe unasoma, kwa IQ yako hapa JF hustahili kusoma hata moja kati ya hizo.
Nashhukuru mkuu.. Ngoja nikapambane.Soma PA,coz PA ipo wide sana kuliko HR me nilipiga PA
Nashhukuru mkuu.. Ngoja nikapambane. Vp sokoni ajira zake zinanunulika?Soma PA,coz PA ipo wide sana kuliko HR me nilipiga PA
Soma PA,coz PA ipo wide sana kuliko HR me nilipiga PA