Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge.
Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni.
Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu.
Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo zitajenga hospitali, shule na kusambaza maji vijijini.