Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Tena hawana faida ni wagonga meza tuu
Tena hawana faida ni wagonga meza tuu
Yaani aisee mie naungana mkono wapunguze wabunge, na labda wabaki angalau tu mbunge mmoja kila mkoa anatosha, maana sioni tija yoyote kwa uwakilishi wao wa sasa ktk kuisimamia kwa dhati serikali na kwenye kutatua changamoto za wananchi ili kuleta maendeleo yao........na hapa katiba mpya itahusika!Tena hawana faida ni wagonga meza tuu
Kila mkoa uwe na mbunge mmoja wa kuwawakilisha wananchi bungeni, sio maswala ya CCM kuzalisha kanda hazina vichwa wala miguu sijui ya Wilaya Mjini/Wilaya Kijijini ilimradi wawe na wabunge wengi. Unakuta Mkoa mmoja una wabunge 8 wote wanaenda kupiga meza tu.Pia wabunge walipwe na wananchi wa jimbo walipotoka
Ratio ya wabunge iwiyane na population, kwa mfano zanzibar kuna wabunge zaidi ya 50 kwenye watu million 1, wakati hata wakiwa 2 basi ni wengi.Wabunge ni wawakilishi wa wananchi, ili wabunge wapungue inabidi wananchi wanaowakilishwa wapungue🐒
Wabunge wawe hamsini tu,tufute ma DC na Ma RC,wabaki Ma RAS,na Ma DAS,mawaziri wawe 10 tu,sio kila waziri lazima apewe gari,Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge.
Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni.
Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu.
Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo zitajenga hospitali, shule na kusambaza maji vijijini.
View attachment 1873411
Tangu lini mtumwa akawa na nguvu kwa master wake?Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge.
Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni.
Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu.
Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo zitajenga hospitali, shule na kusambaza maji vijijini.
View attachment 1873411
SawasawaTanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge.
Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni.
Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu.
Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo zitajenga hospitali, shule na kusambaza maji vijijini.
View attachment 1873411
Hii imekaa vizuri,tutapata wazalendoPia wabunge walipwe na wananchi wa jimbo walipotoka
Tutakuwa tumepunguza watu zaidi ya 110 bungeni hatua nzuri sana.Viti maalum tupa kule
Viti maalumu vyote vifutweTanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge.