Ushauri: Idadi ya Wabunge ipungue ili kupunguza gharama za mishahara na kuwahudumia

Mimi hata sioni faida ya kuwa na wabunge kabisa kwani wako pale kushibisha matumbo yao tu.
 
Tunahitaji wabunge wasiozidi 150 tu!!!!
 
Wambunge 2 kila mkoa kwa jenda ingetosha.Kiukweli serikali ya CCM inazuia mchakato Katiba Bora kwa masilahi ya kundi dogo.
 
Wewe sijui uchumi wako ulisomea wapi!. Ukitaka ubane kila kona hivi mzunguko wa fedha utawafikiaje wananchi?. Nchi yenye wakazi zaidi ya milioni hamsini kuwa na wawakilishi zaidi ya mia NNE bungeni ni jambo muhimu sana. Sio kila jambo ni la kupinga tu bila tathmini ya kina.
 
Marekani ina population ya watu wangapi? na wabunge wapo wangapi? Tuletee data mkuu
 
Mawaxo
Marekani ina population ya watu wangapi? na wabunge wapo wangapi? Tuletee data mkuu
Hiyo ni marekani na hii Tanzania. Hatuwezi kuiga kila kitu kama dodoki.
 
Viti maalum vifutwe vinaongeza gharama isiyokua na tija. Vyama vya siasa vihimizwe kuhakikisha vinapata wagombea wa majimbo wenye kufaa bila kukosekana uwiano mzuri wa jinsia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…