chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Eneo kama Kariakoo, ilitarajiwa suti nyeusi wawepo kwa Kila namna, wawepo kama wamiliki wa maduka, kama watendaji wa mitaa na Kata, wauza kahawa, machinga, wawe ndani ya mchezo na mbele ya matukio yanayopangwa, na kama inabidi, waendeshe udukuzi wa kiuchumi wa mawasiliano ya kingpins wote wa kariakoo, na Kila mara wayafanyie tathmini.
Walitakiwa kuwa ndani ya vikao vya wapanga migomo, wakishiriki kama wafanyabiashara ila wako kazini.
Mpaka unatokea mgomo, na hawana taarifa, au wanazo lakini hawajazi process katika channels za viongozi, ili viongozi wachukue hatua mapema, nadhani pia wasiachwe, na wao waende mahala pengine, iingie smart team.
Wasalaam.