Dongo La Kiemba JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 1,830 Reaction score 1,263 Dec 2, 2015 #21 sasa hao wanaopokea mali walikuwa wapi kukuhudumia....tunazuia kusomesha wachumba!! navyoona huna mapenzi nae...ndio maana unawaamini wengine kuliko yeye..
sasa hao wanaopokea mali walikuwa wapi kukuhudumia....tunazuia kusomesha wachumba!! navyoona huna mapenzi nae...ndio maana unawaamini wengine kuliko yeye..
Zeemadeit JF-Expert Member Joined Oct 16, 2020 Posts 830 Reaction score 1,673 Jul 10, 2022 #22 Mkuu vipi mlioana na jamaa?
Mzee Shirimaa JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 1,539 Reaction score 3,456 Jul 10, 2022 #23 Jamani na sisi wanaume tuko wengi njoo huku