Nimepiga hesabu hapa Naona huu Mzigo sio wangu kabisa Mkuu. .sasa naona ananikazia kweliNdugu we c ulikuwa unapiga? Sasa mbona unaanza karuka?mzigo wako huo, piga hesabu fresh...Ila kuhusu lile swali la vipindi inawezekana pia, ni vizuri akaanza ama mkaanza clinic wote wawili
ulikuwa hujajipanga nini mkuuNgumu kuamini Mkuu
Kama tar 4 hivi mwezii wa 9 Mkuu. ..weka tarehe uliyokula papuchi yake na tarehe zake pia tuweze kujua kama kweli mimba ni yako ama laah?
Na kama uliloweka namaanisha ulipiga kavu....mkuu yaweza kuwa ni kweli ulimpa mimba ....
lastly usikimbie majukumu mkuu....... lea hiyo mimba aisee
Nitajitahidi Next time Boss mana naona ishakua balaa sasaUwa watu wanasema majukumu ya kulea ni magumu!
Hakuna kitu raha kuzaa aseeh na hali ya magu hii nikiwa sina pesa...
Naenda kucheka na mwanangu ili mradi ana mahitaji yake .
Vijana tunaogpa kuzaa maan starehe ziko mbele......vaa ndomu kama unaogpa kugawa sperm.
Mechi za ugenini unapigaje kavukavu naweweMkuu kichwa kinauma hapa afu unanmbia hongera. ?
huyu Manzi naona ananichezeshea mchezo
Wakubwa.
kuna huyu Manzi alikuwaga rafiki angu enzi zile za tuition Mchikichini.
Mwaka huu mwezi wa tisa mwanzoni tulisex. Sasa leo kanicheki ananiambia J leo nilizimia.
nikastuka kidogo, nkampigia nikamuuliza tatizo ni nini. ? Anasema Nurse kamwambia ana Ujaauzito wa mwezi mmoja. Wakati huo Mimi nko mkoa tangu tar 12 mwezi wa 9 na mara ya mwisho naondoka alinmbia yuko period afu leo ananimbia Ana Mimba na ni ya kwangu Mimi J.
ushauri wakuu inawezekana kweli hii kitu ..
Mechi za aina hii weka tahadhari jombaaSina Mechi rasimi Mkuu ndo game zangu hizo onja onja