USHAURI; Inawezekana kuwa na Ujauzito na bado akaingia period?

inawezekana kuwa mjamzito kisha kuona siku zake kama kawaida hii inatokea sana katika miezi ya awali kisha inakata. hivyo usishangae kaka lea mtt wako na hayo ndio matunda ya mti ulioupanda
 
inawezekana kuwa mjamzito kisha kuona siku zake kama kawaida hii inatokea sana katika miezi ya awali kisha inakata. hivyo usishangae kaka lea mtt wako na hayo ndio matunda ya mti ulioupanda
Mmmmh
 
Sasa period ikiwa inaendelea na vipimo vya mimba vya aina vyote vinaweza kuonyesha kuwa mtu ni mjamzito?
 
Nimepiga hesabu hapa Naona huu Mzigo sio wangu kabisa Mkuu. .sasa naona ananikazia kweli

Kama mnaogopa mimba sikunyingine muwage mnafanya kwenye tigo huko hakunaga mimba.
 
Ilishanikuta hyo kitu mpk leo hii manzi kaniganda. Sijataka kumkatalia ila najua sio wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…