Ushauri jaman, sijui nirudi kijijini

jack 1

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
61
Reaction score
63
habari zenu wana JF naombeni ushauri, mimi ni bint wa miaka 24 mzaliwa wa shinyanga ila kwa sasa naishi arusha, naombeni ushauri maisha yamekua magum nilikuja arusha kutafuta kazi kutokana na hali ngum niliyokuwepo nayo nyumbani, nilipofika nikapata bahati nikapata kazi banana investment nimefanya kazi kama mwaka mmoja hv, badae tukapunguzwa, nimetafuta kazi mapaka nimechoka jamn nimepanga chumba kodi imeisha nifanyeje nawaza kurudi nyumban lakini kila nimwambia mama narudi nyumban sukari na presha vinapanda sijui nifanyeje guys naombeni ushauri dunia chungu, usiku usingizi sipati nalala saa 9 naombeni ushauri ndugu zangu
 
Kwani wakati ukifanya kazi hukujenga kamtandao ka marafiki? Kama wapo waconsult wakuhifadhi huku ukiendelea kutafuta ajira nyingine.if hawapo rudi home ukajipange upya!
 
Daaah dadangu Mungu ndo anaweza kuukusaidia katika utatuzi wa tatizo lako ambalo pia linatukabili vijana wengi wa Kitanzania!!
 
Kama alivyoshauri lara1 huo ndio mpango la sivyo utajikuta unajiingiza katika maisha ambayo hukutarajia.
 
Mh!
kwanza Nakupa Pole Dadangu!!
Navuta Picha..Namna Ambavyo Mama Anaipokea Taarifa Hiyo,Toka Kwa Mtoto Anayemtegemea!

Ndio Tanzania Hii!!...Vilevile Vijana Tujifunze,Mtu Mwaka Mmoja Si Ungekuwa Umejibana Na Kuweka Akiba Kidogokidogo Ili Uwe Na Chanzo Cha Mapato,Tofauti Na Kuajiriwa?

Nakushauri,Urudi Nyumbani Kujipanga..Iwapo Hautakuwa Na Ndugu, Jamaa Au Marafiki,Watakao Kuhifadhi Wakati Unachakarika Na Kusaka Ajira!!
 
Pole sana dada yangu, kwani changamoto zilizokuwepo hadi ukaamua kwenda Arusha zimeisha? Usikate tamaa, jitahidi, omba Mungu utafanikiwa.
 
Pole dadaa'ngu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani wakati ukifanya kazi hukujenga kamtandao ka marafiki? Kama wapo waconsult wakuhifadhi huku ukiendelea kutafuta ajira nyingine.if hawapo rudi home ukajipange upya!
akirudi home ndo anapotea kabisa katika ulimwengu....... Ciellokijijini unatakiwa urudi ukiwa maiti ....anatakiwa abaki mjini achakarike kuliko kurudi hom
 
Last edited by a moderator:
Umesomea kitu gani? Ebu funguka zaidi nasi tukusaidie japo mawazo au jinsi ya kupata kazi mpya.
 
hii ndiyo serikali mliyoiweka madarakani.jiulize ulipigia kura chama gani?kama n chama kinachotawala jipange 2015.kila la heri.
 

Umesomea nini? Njoo ujaribu Dar.
 
ninadiploma ya journalism na computer pia, lakini kazi niliyokua nafanya sio ambayo niliisomea.
 
hii ndiyo serikali mliyoiweka madarakani.jiulize ulipigia kura chama gani?kama n chama kinachotawala jipange 2015.kila la heri.

acha hzo kwa hili hata ikiingia chadema hakuna jipya.hyo utajiskiaje endapo chadema watashika dola halafu walioahidi yasitimizwe?
 
Dada yangu pole sana ila usikate tamaa, endelea kusaka Mungu atakusaidia. Ila unapoexperienc hayo ujue mema yanakuja, cha muhimu endelea kujitunza usije ukafanya uamuzi wa kujutia baadae!
 
ninadiploma ya journalism na computer pia, lakini kazi niliyokua nafanya sio ambayo niliisomea.

Angalia usije ukashawishika ukaingia kwenye biashara haramu ya kuuza mwili wako dadangu. Ukiona umekosa ulekeo hebu niPM nikuambie kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…