ushauri jamani

Mpe moyo mwambie asubiri mpaka November akimaliza paper kama anampenda ataona changes.
 

akimwambia mda huu wa mtihani si atafeli mtihani? Ila mi mwenyewe nimemwambia kusoma Cpa sio kigezo
 
Haya mambo ya mapenzi ya mbali mbali bwana mwambie avute subira tu na kumwomba mungu atakapomaliza hiyo mitihani mbivu na mbichi zitajulikana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…