Jamani mi nimechaguliwa B.scie.in wildlife management ila tatizo kwamba sikuichagua na ni non-priority.
Sasa naomba ushauri nifanyeje ili niweze kupata faculty yenye mkopo.
Pia niliambatanisha na taarifa zangu za ulemavu ktk loan je loanboard watanifikiria hapo kweli?