Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Una bargain nae mwanzo tu, proposal inapesa yake na Report writing Ina pesa yake, data screening na processing ina pesa yake. You need to know the value of ur work, usikata tamaa inategemea ulipo, inalipa I tell you, watu wengi ni weupe sana kichwani kwenye anga hizo.Unajipinda na maliterature weeeeeee hadi unakoma halafu malipo ni ya kibaba...
Wa tz huwa hawaheshimu utaalamu wa kabisa. Mtu unamuongoza kuanzia proposal nzima, data collection analysis hadi reporting anataka akupatie laki kazi yote...
Kwakweli hapana
Me proposal tu ni milion moja hutaki bora niacheUna bargain nae mwanzo tu, proposal inapesa yake na Report writing Ina pesa yake, data screening na processing ina pesa yake. You need to know the value of ur work, usikata tamaa inategemea ulipo, inalipa I tell you, watu wengi ni weupe sana kichwani kwenye anga hizo.
Ya masters, undergrad, au PhD?Me proposal tu ni milion moja hutaki bora niache
Hiyo proposal, analysis na reporting, inaleta matunda gani mwishowe? Degree na cheti? Ai kuna kingine?Unajipinda na maliterature weeeeeee hadi unakoma halafu malipo ni ya kibaba...
Wa tz huwa hawaheshimu utaalamu wa watu kabisa. Mtu unamuongoza kuanzia proposal nzima, data collection , analysis hadi reporting anataka akupatie laki kazi yote...
Kwakweli hapana
Mambo yasiyokuhusu waachie wenyewe, we kukimbia shule isiwe mzigo kwa wengineHiyo proposal, analysis na reporting, inaleta matunda gani mwishowe? Degree na cheti? Ai kuna kingine?
MastersYa masters, undergrad, au PhD?
Unabei unaifanya yote hadi report na manuscripts au just proposal ipite tu? Wewe ni mnoma sanaMasters
Usikate tamaa mwamba ila sio mbaya Kwa huo mchepuko unalipa sanaMimi nimesoma Statistics lakini ninapopatia hela ni kwenye masuala ya tax. Nimeshaacha hayo masuala kabisa. Lakini nilichogundua wabongo wengi hawathamini utaalamu wa mtu kabisa.
Daah namiss sana mbususu za pisi za picnic, African queen na Africana, X lounge dadeki Arusha balaaOfisi zetu ziko Arusha karibu na picnic tunafanya kaxi hizo Kwa wanafunzi wa vyuo vikuu
Uko sawa kabisa.Me proposal tu ni milion moja hutaki bora niache
Huelewi nini sasa umeambiwa proposal tu. Halafu hiyo bei aliyosema ni kawaida sana.Unabei unaifanya yote hadi report na manuscripts au just proposal ipite tu? Wewe ni mnoma sana
Duuh kweli kuna vilaza waoga, full document ni 2.5 hadi 3MHuelewi nini sasa umeambiwa proposal tu. Halafu hiyo bei aliyosema ni kawaida sana.
Proposal tu ila ni hadi ipite ...hata kwenye reporting lazima nirudi kwenye kuongeza literature kulingana na kile nitakachopata filed ili connection iwepo kwenye process nzima ya research....Unabei unaifanya yote hadi report na manuscripts au just proposal ipite tu? Wewe ni mnoma sana