USHAURI: Jinsi unavyoweza kufanya biashara yenye mafanikio ukiwa bado umeajiriwa

ukikataa takwimu basi una mbadala wa takwimu angalau za kukaribia na hizo.............. una zozote mkuu?
wakati mwingine mwandishi au mwasilishaji wa mada husika hutoa takwimu kulingana na mazingira yanayo mzunguka na eneo alilofanyia shughuli zake.
hivyo ukipinga jielekeze kwenye mazingira na ufahamu wako pia.

SP
 


Mkuu huo ndo ukweli wenyewe, Ni vigumu kufikia kiwango cha Mabilionare ukiwa eti mwajiriwa, kama unahitaji mafanikio basi ni lazima mawazo yako, nguvu zako, akili yako zote 100% ziwe ni katika biashara yako,
 
yan mi mda wangu unaishia hapa kwenyemeza ya wahnd lakn ninamikakat kichwani hapa, lazma kieleweke
 
mkuu Makirita Amani asante sana kwa kutumegea maujanja ya kuweza kuthubutu kwenye ujasiliamali
 
Last edited by a moderator:
hili ndo suluhisho la kudumu mkuu
YOUR IN DANGER RIGHT NOW!!
Are you internet user?im sadly to say that your in great position of be affected with a new threat known as keylogger,it easy to be affected by reading article,visiting website,downloading song or movie,an email from friend,playing online game e.t.c

Is hiding between your keyboard and your computer/phone,they record all keystrokes that you type,without your knowledge then they forward that information, username, password, credit card information and all your personal data to online criminal, the truth is no any ant virus company software can protect you full on this threat,
What to do to be protected?we have the solution there is software which available to encrypt all your keystroke and give you tripple benefits!

To protect you

To give you 10 free share by watching video and for every person you refer/invite you got 10 share

To give you 7 types of commission on every person who is going to join to you in your affiliate referral link seven level/generation deep ,your going to receive more than 35$ per person

Additional with free cloud storage which is unlimited,store video,picture documents e.t.c and gain access wherever internet facility is founded even if you do not have your computer you can access use your phone

The minimum price per package is 29$ only

There is 7bilion users of internet world wide,you can help them to make internet a safe place and you both being payed,interested?Follow this link to register:goo.gl/OS1XOf
I will be glad to work with you as team
Call soon
0712223052
God bless you
 

Hii inahusikaje hapa? Jifunze vizuri mbinu za marketing la sivyo utakuwa unatumia nguvu nyingi na kupata majibu kidogo.
 
Nafikiri wengi hamjanielewa vizuri. Hapa sizungumzii mtu kufanya kazi na biashara maisha yake yote, bali mwanzoni mwa biashara ambapo bado hana kipato cha kutosheleza anaweza kutimia mbinu hizi na baadae akaondoka kwenye kazi na kwenda kwenye biashara zake moja kwa moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…