Habari ndugu zangu,
Nipo kwenye ukarabati wa salon yangu ya kiume. Bado najitahidi kupata front view(design ya mbele) ndani kwenye vioo vya kujitazama kipindi mteja ananyolewa na interiol colour.
Nahitaji kama kuna mtu hapa anayo salon ya kisasa nzuri aweke picha hapa ili niweze kupata idea ya nini nifanye na nipangilie vipi vioo vyangu vya mbele nipate mwonekano mzuri ktk saloon yangu.