Ushauri: Jinsi ya Kufika Sikonge (Tabora) From Dar

Ushauri: Jinsi ya Kufika Sikonge (Tabora) From Dar

Hasa, shida yangu ni jinsi ya kufika, ni kutembea tu zaidi na kuangalia fursa hasa upande wa mifugo (Ngombe na Mbuzi)
 
Nitashukuru sana sana. Na pia mwnye ufahamu kuhus minada ya mifugo kwa sikonge nitafurahi kufahamu
 
Wadau wa Sikonge, naomba muongozo wenu please!
 
WADAU, NAOMBA USHAURI NJIA RAHISI YA KUSAFIRI KWA BASI KUTOKA DAR MPAKA SIKONGE (TABORA) NA MABASI MAZURI/KAMPUNI YA KUPANDA. SHUKURANI.
Panda mabasi hadi Dodoma au train hadi Itigi(Manyoni),Hapo utapata usafiri rahisi wa kufika Sikonge.
 
Nenda Mbezi ulizia magari ya kwedaMpanda kupitia Tabora ..,au kaa vipi Panda yanayoishia Tabora Mjini zthen utaungq kwendaSikonge about 89 Km
 
Panda gari za Dar mpanda kama zipo, utashuka sikonge. Au panda za Tabora,ukifika utapanda daladala lisaa nadhani.
 
Panda HappyNation

Nauli 60,000 from Dsm to Sikonge

Utafika by saa nne to tano usiku
 
Back
Top Bottom