Aina ya usafiri unabadilika kutegemea nini anaenda kufanya?Unaenda kufanya nini
Haubadiriki ila tukijua Nia yake tunaweza kumsaidia zaidi ya hapoAina ya usafiri unabadilika kutegemea nini anaenda kufanya?
Shida yake ni usafiri jinsi ya kufika. MwelekezeHaubadiriki ila tukijua Nia yake tunaweza kumsaidia zaidi ya hapo
Nakushauri uende mpaka Tabora mjini ikiwezekana lala hapo, then utapata magari ya kwenda sikonge barabara ni nzuri ila magari siyajuiWadau wa Sikonge, naomba muongozo wenu please!
Nakupm namba. Mcheki jamaa atakuelekeza kidogo. Ni mfanyakazi mwenzagu . Alishawahi fika huko kwenye project fulani nakumbukaWadau wa Sikonge, naomba muongozo wenu please!
Panda mabasi hadi Dodoma au train hadi Itigi(Manyoni),Hapo utapata usafiri rahisi wa kufika Sikonge.WADAU, NAOMBA USHAURI NJIA RAHISI YA KUSAFIRI KWA BASI KUTOKA DAR MPAKA SIKONGE (TABORA) NA MABASI MAZURI/KAMPUNI YA KUPANDA. SHUKURANI.