Ushauri jinsi ya kutengeneza Icecream

Ushauri jinsi ya kutengeneza Icecream

devcon

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
359
Reaction score
384
Wadau,

Ni matumaini yangu wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku.

Naomba msaada kwa yoyote anaejua jinsi ya kutengeneza icecream amabazo zinakua zenye ladha nzuri,rangi ya kuvutia na laini kwa kuzila hata kama zitaganda vipi mana kuna icecream nyingine zinakua ngumu kama barafu,pia nahitaji kujua namna ya kufanya mixing ya virutibisho na uwiano wa rangi ili niweze kulikabili soko.

Asanteni
 
Back
Top Bottom