Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787] tena wanaweka na tilesKumbe ni kweli hizi tozo ni wananchi ndio mmependekeza, kipindi watu wanalalama wengine mnajenga.
Yani, we acha tu.[emoji1787][emoji1787] tena wanaweka na tiles
Nenda kwenye duka la vifaa vya ujenzi lililo karibu mawe, kachague mwenyewe rangi unayoipenda.Habari ! Naomba ushauri juu ya aina ya tiles ,zakuweka kwenye nyumba ya kuishi familia! Aina za tiles za kuweka sebuleni,dining ,vyumbani,jikoni na barazani.Budget ni ya mtanzania wa kawaida kabisa.
Asanteni
Siku 1 toka nyumbani nenda kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi kufanya window shopping. Usisahau kalamu na notebook.Habari ! Naomba ushauri juu ya aina ya tiles ,zakuweka kwenye nyumba ya kuishi familia! Aina za tiles za kuweka sebuleni,dining ,vyumbani,jikoni na barazani.Budget ni ya mtanzania wa kawaida kabisa.
Asanteni
Mkuu, kwa uzoefu wako, mtu wa kipato cha chini ungemshauri angalau achukue aina ipi ili apate ubora pia?Siku 1 toka nyumbani nenda kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi kufanya window shopping. Usisahau kalamu na notebook.
Kuna makampuni mbalimbali na tiles zao hutofautiana. Hapa TZ utasikia Goodone na Ywyford. Ya nje utasikia mchina, mhindi, Spain, Egypt.
Kuna sizes mbalimbali, ni wewe kuamua unataka kuweka za size gani na wapi. Mfano, sitting na dining room unaweka za 50*50, vyumbani 40*40, chooni juu 25*40, chooni chini 30*30.
Bei pia zinatofautiana kulingana na sizes na pia makampuni. Kampuni A utaambiwa 40*40 ni sh elfu 25-33. Kampuni B utakuta size hiyohiyo ni sh elfu 39.
Wenye nyumba wenzake..Ngoja waje kukupa muongozo...
Mkuu tiles zipo aiana nyingi kikubwa zingatia bei kulingana na kipato chako kuna za mchina bei ni nafuu sana kulinganisha na mspain ambazo ndio imara zaidi mimi kama fundi na kushauri chukua za mchina View attachment 2346200Habari ! Naomba ushauri juu ya aina ya tiles ,zakuweka kwenye nyumba ya kuishi familia! Aina za tiles za kuweka sebuleni,dining ,vyumbani,jikoni na barazani.Budget ni ya mtanzania wa kawaida kabisa.
Asanteni
Hata huyo mchina anazo quality tafautiMkuu tiles zipo aiana nyingi kikubwa zingatia bei kulingana na kipato chako kuna za mchina bei ni nafuu sana kulinganisha na mspain ambazo ndio imara zaidi mimi kama fundi na kushauri chukua za mchina View attachment 2346200
Angalia za Goodone, huenda zikakufaa.Mkuu, kwa uzoefu wako, mtu wa kipato cha chini ungemshauri angalau achukue aina ipi ili apate ubora pia?
Yaani hapa umeeleweka sanaQuality ya tiles inategemea na mfuko wako. Kila tiles zikiwa bei kubwa basi ndio zinakuwa imara zaidi.
Ni vyema uende na fundi wa tiles ili aweze kukuelekeza vizuri. Kuna tiles huwa zinafutika baada ya muda mfupi tu (very low quality), kuna za ceramic (lowest quality), granite, marble....
Zile zinazon'gaa sana ndiyo hatari kuziweka kwenye floor maana mara zinakupiga mweleka sehemu ikiwa na maji. Tahadhari sana ukiwa na watoto au wazee ndani ya nyumba maana utaishia kutibu tu.
Sehemu ambazo wanapita watu mara kwa mara (kama corridors) ni vyema kuweka tiles za good quality. Halafu ununue za kutosha ili usijepungukiwa wakati wa kuweka ukaenda dukani unakuta zimekwisha za design ile unayotaka wewe.
Kama upo Arusha njoo nikuunganishe na jamaa yangu umuungisheSawa !Shukran
Huyo jamaa wa Arusha ofisi yake Iko wapi?Kama upo Arusha njoo nikuunganishe na jamaa yangu umuungishe