sasa ni maelezo mengi na haya mambo yapo deep kidogo,lakn unaweza mtafuta mwasibu,au mtaalam yeyote wa mambo ya biashara atakuelekeza,ila soko la hisa lipo hv,mfano wewe unaanzisha kampuni kwa mtaji wa sh 1,000,000 sasa wewe huwez kuchangia hela yote hyo mfano,sasa unawashirikisha watu waweze kukusaidia kupata hyo hela,sh mil moja mfano unaiweka katika mafungu mia moja yaan sh1000000/1000=1000 share units ambazo ndo share sasa,kwahyo katika mtaji wa sh mil 1,kuna share elf 1000 kwahyo kila share atauziwa atakaenununua kwa sh 1000,inamaana wewe ukiamua kuchukua share 600 utalpia sh 1000 bei ya share moja *600=600000 shs.=60%ya share zote,na utakuwa ndo mmilk coz shar inabid ziwe 51%ili uwe mmilk,lakn wengne watakaonunua zlzobak watakuwa ni moja ya wamiliki{share nnazo zungumzia znaitwa ordnary share},kampuni ikipata faida,faita itakayopangwa igawiwe kila mtu atapewa faida kutokana na share alzonazo,kila kampuni inakiwango chake cha chn cha kuuza share,mf precision air mwakajan waliuza share kwa sh kama 400 kwa share na ultakiwa kununua zczopungua 500 kama ckosei,hu ni mwanga tu utakao kusaidia kuperuz zaid mtandaon,tafuta google kwa kuandika,soko la hisa,pia kuna aina nyng za hsa