ushauri juu ya biashara ya hisa!

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,907
Naona sana matangazo ya bei za hisa kitu ambacho napenda kufahamu kama mm ambae sijawahi fanya hii biashara na natamani kuifanya ila naomba kujua jinsi gani inafanyika na je inalipa!!!!ukianza na kiasi gani italipa vizuri!?
 
Kiasi gani kwenye kammpuni ipi manake kila kampuni ina bei yake.ndio inalipa kama una mtaji mkupa na umenunua hisa ambazo soko lake lipo juu sio hizi za mia hamsini.
 
Yaan cna uelewa kabisa inakuaje mtu ikamlipa,wanalipaje lipaje nataka kununua hisa za kuanzia nijue kwa kipato cha kawaida cha mtanzania anaweza anza na tsh ngapi ndugu!
 
sasa ni maelezo mengi na haya mambo yapo deep kidogo,lakn unaweza mtafuta mwasibu,au mtaalam yeyote wa mambo ya biashara atakuelekeza,ila soko la hisa lipo hv,mfano wewe unaanzisha kampuni kwa mtaji wa sh 1,000,000 sasa wewe huwez kuchangia hela yote hyo mfano,sasa unawashirikisha watu waweze kukusaidia kupata hyo hela,sh mil moja mfano unaiweka katika mafungu mia moja yaan sh1000000/1000=1000 share units ambazo ndo share sasa,kwahyo katika mtaji wa sh mil 1,kuna share elf 1000 kwahyo kila share atauziwa atakaenununua kwa sh 1000,inamaana wewe ukiamua kuchukua share 600 utalpia sh 1000 bei ya share moja *600=600000 shs.=60%ya share zote,na utakuwa ndo mmilk coz shar inabid ziwe 51%ili uwe mmilk,lakn wengne watakaonunua zlzobak watakuwa ni moja ya wamiliki{share nnazo zungumzia znaitwa ordnary share},kampuni ikipata faida,faita itakayopangwa igawiwe kila mtu atapewa faida kutokana na share alzonazo,kila kampuni inakiwango chake cha chn cha kuuza share,mf precision air mwakajan waliuza share kwa sh kama 400 kwa share na ultakiwa kununua zczopungua 500 kama ckosei,hu ni mwanga tu utakao kusaidia kuperuz zaid mtandaon,tafuta google kwa kuandika,soko la hisa,pia kuna aina nyng za hsa
 
ukinunua hisa kama za tbl sh 3000,barick gold 13000 znalpa sana sema bei ku
bwa alaf wanataka uwenazo nyng,kampun ikipata faida mwisho wa mwaka na ikitangaza kugawa faida kwa sh zitakazo tajwa,labda sh 400 per shar unapewa chako.
 
ukinunua hisa kama za tbl sh 3000,barick gold 13000 znalpa sana sema bei ku
bwa alaf wanataka uwenazo nyng,kampun ikipata faida mwisho wa mwaka na ikitangaza kugawa faida kwa sh zitakazo tajwa,labda sh 400 per shar unapewa chako.

Shukrani sana ndg nimekuelewa sana!je ni business nzuri ni kuwekeza ndugu!?
 
kuwekeza kwenye hisa kama huna hela nying za kununua hisa,utapata faida ndogo,kwa watu wenye uwezo wakununua hisa za sh mil 50 wanafaidika lakn ni bora ukazitumia hela zako kwa biashara ambayo inakuingizia kipato cha uhakika zaid kila siku.soko la hisa ni zuri kwa wafanyabiashara wenye extra money,lakn ukifika stage fulan unaweza ukawa unanunua kidogo kidogo halafu baadae ukajikuta unahisa nying.wekeza kweny biashara.
 
Biashara ya hisa ni risk investment, kwahiyo sikushauri kuifanya maana madhara yake ni kutokomeza hela yako yote.

Bora ukafanye manunuzi ya treasury bonds kutokea benki kuu, hapa utajihakikishia kupata fedha zako na return kidogo kulingana na coupon itakavyo jieleza.

Wekeza salama.
 

Hiyo nayo ni ipi mkuu,treasury bond!kuna hela nahitaj kuiingiza kwenye business nawaza kila sehemu kuanzia kilimo mpaka huku natafuta nzuri ma isiyo na risks
 
Hiyo nayo ni ipi mkuu,treasury bond!kuna hela nahitaj kuiingiza kwenye business nawaza kila sehemu kuanzia kilimo mpaka huku natafuta nzuri ma isiyo na risks

hakuna biashara isiyo na risk mkuu!ila kuwekeza kweny hisa,nop ckushauri,kilimo kinafaa bro
 
Tunaomba maelezo kwenye hiyo treasury bond mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…