Franky JF-Expert Member Joined Apr 27, 2012 Posts 2,270 Reaction score 2,844 Sep 21, 2020 #141 lawyer2 said: Wakuu natafuta watoto wa nguruwe angalau miezi 2 au 3..mbegu nzuri.naweza pata wapi kwa bei nzuri.Shamba lipo Moro Sent from my SM-G988B using JamiiForums mobile app Click to expand... Wasiliana na Malafyale
lawyer2 said: Wakuu natafuta watoto wa nguruwe angalau miezi 2 au 3..mbegu nzuri.naweza pata wapi kwa bei nzuri.Shamba lipo Moro Sent from my SM-G988B using JamiiForums mobile app Click to expand... Wasiliana na Malafyale
Franky JF-Expert Member Joined Apr 27, 2012 Posts 2,270 Reaction score 2,844 Sep 21, 2020 #142 kiboko samson said: Nyama ya nguruwe inakaa. Kwenye friji kwa muda gani Click to expand... Dah maswali mengine. Kwani mkuu hujui kazi ya fridge ni nini? Mfano unadhani nyama ya kuku inakaa kwa muda gani kwenye fridge?
kiboko samson said: Nyama ya nguruwe inakaa. Kwenye friji kwa muda gani Click to expand... Dah maswali mengine. Kwani mkuu hujui kazi ya fridge ni nini? Mfano unadhani nyama ya kuku inakaa kwa muda gani kwenye fridge?