Ushauri: Juu ya biashara ya Koni, Chopstic na Ice Cream

Ushauri: Juu ya biashara ya Koni, Chopstic na Ice Cream

morrine

Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
39
Reaction score
10
ndugu zangu naomba kwa mwenye ujuzi wa vitu hivi nataka kuanza biashara ya kuuza chostic au koni au ice - cream lakini cjajua kama huwa zinafaida naombeni mnijuze ndugu zanguni wenye uzoefu tafadhali.
 
Back
Top Bottom