M morrine Member Joined Jun 23, 2014 Posts 39 Reaction score 10 Mar 7, 2015 #1 ndugu zangu naomba kwa mwenye ujuzi wa vitu hivi nataka kuanza biashara ya kuuza chostic au koni au ice - cream lakini cjajua kama huwa zinafaida naombeni mnijuze ndugu zanguni wenye uzoefu tafadhali.
ndugu zangu naomba kwa mwenye ujuzi wa vitu hivi nataka kuanza biashara ya kuuza chostic au koni au ice - cream lakini cjajua kama huwa zinafaida naombeni mnijuze ndugu zanguni wenye uzoefu tafadhali.