SPY-NOTORIOUS
Member
- Sep 25, 2012
- 45
- 11
6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2mekusoma bhana, wenye akili hawawez maliza miaka 3 au 4 wakipata boom bila hata kujenga slopu ya chumba na sebule!
2mekusoma bhana, wenye akili hawawez maliza miaka 3 au 4 wakipata boom bila hata kujenga slopu ya chumba na sebule!
Pole kwa kupigika mtaani...soon utafanikiwafuraha ya kujiunga chuo kwa watu waliowengi hua ni kufaidi kodi zao na wengine husahau hata vilivyowapeleka chuo na kudata kwa fedha hiyo,ushauri fuata kilichokupeleka chuo=elimu,kama mapenzi kua makini na utayemchagua maana waweza ishia jutia maisha yako yote ya masomo ya juu hasa totoz za town waachieni wa town we kula kwa macho'utalia na kusaga meno...ka vp wekeleza na uanze biashara ndogondogo kwani wengi hukumbuka mwishoni ambapo hana ujanja huo tena...nawatakieni masomo mema wakuu...ila kueni makini na andaeni grounds za kujiajiri,au hata kuajiriwa mapema mtaani kumenuka watu tunasota kazi hamna,biashara labda kidogo kama una akili ya kuzaliwa...mafanikio mema
Tahadhari!!!!!!!
Wale waliokosea kujaza fomu Mihela inaweza wachezea kando au wakapata kiduchu!!
Ingia uone shughuri yake afu ndo uje uyatamke hayo maneno yako hapa na utuonyeshe hicho kibanda ulichokijenga.2mekusoma bhana, wenye akili hawawez maliza miaka 3 au 4 wakipata boom bila hata kujenga slopu ya chumba na sebule!
je wale wa Baed huwa wanachezea kama % ngap?
naomba kila aliyesoma miaka mitatu au minne na kumaliza akusamehe, maana hujui ulisemalo mdogo wangu!! 600K (assuming hauli na haulipii chumba,hautoi copy yeyote, wala hununui kitu semester nzima) ujenge!?
furaha ya kujiunga
chuo kwa watu waliowengi hua ni kufaidi kodi zao na wengine husahau hata
vilivyowapeleka chuo na kudata kwa fedha hiyo,ushauri fuata
kilichokupeleka chuo=elimu,kama mapenzi kua makini na utayemchagua maana
waweza ishia jutia maisha yako yote ya masomo ya juu hasa totoz za town
waachieni wa town we kula kwa macho'utalia na kusaga meno...ka vp
wekeleza na uanze biashara ndogondogo kwani wengi hukumbuka mwishoni
ambapo hana ujanja huo tena...nawatakieni masomo mema wakuu...ila kueni
makini na andaeni grounds za kujiajiri,au hata kuajiriwa mapema mtaani
kumenuka watu tunasota kazi hamna,biashara labda kidogo kama una akili
ya kuzaliwa...mafanikio mema
furaha ya kujiunga chuo kwa watu waliowengi hua ni kufaidi kodi zao na wengine husahau hata vilivyowapeleka chuo na kudata kwa fedha hiyo,ushauri fuata kilichokupeleka chuo=elimu,kama mapenzi kua makini na utayemchagua maana waweza ishia jutia maisha yako yote ya masomo ya juu hasa totoz za town waachieni wa town we kula kwa macho'utalia na kusaga meno...ka vp wekeleza na uanze biashara ndogondogo kwani wengi hukumbuka mwishoni ambapo hana ujanja huo tena...nawatakieni masomo mema wakuu...ila kueni makini na andaeni grounds za kujiajiri,au hata kuajiriwa mapema mtaani kumenuka watu tunasota kazi hamna,biashara labda kidogo kama una akili ya kuzaliwa...mafanikio mema