Ushauri juu ya Boom

Khaaaa!!!! mimi nilifikir heslb imefanya yake....
Kumbe ni ushaur.... ok
 
2mekusoma bhana, wenye akili hawawez maliza miaka 3 au 4 wakipata boom bila hata kujenga slopu ya chumba na sebule!
 
2mekusoma bhana, wenye akili hawawez maliza miaka 3 au 4 wakipata boom bila hata kujenga slopu ya chumba na sebule!

naomba kila aliyesoma miaka mitatu au minne na kumaliza akusamehe, maana hujui ulisemalo mdogo wangu!! 600K (assuming hauli na haulipii chumba,hautoi copy yeyote, wala hununui kitu semester nzima) ujenge!?
 
2mekusoma bhana, wenye akili hawawez maliza miaka 3 au 4 wakipata boom bila hata kujenga slopu ya chumba na sebule!

Labda ukajenge matombo morogoro nyumba ya udongo, isiyohtaji mchanga wala cement, ila kwa nyumba za mjini, miaka mia huwez jenga kwa kutumia pesa ya boom
 
Asante mkuu binafsi nimekuelewa ila umenishtua nimefiri heslb imefanya sehemu yake bt all in all BARIKIWA
 
Pole kwa kupigika mtaani...soon utafanikiwa
 
Tahadhari!!!!!!!
Wale waliokosea kujaza fomu Mihela inaweza wachezea kando au wakapata kiduchu!!
 
2mekusoma bhana, wenye akili hawawez maliza miaka 3 au 4 wakipata boom bila hata kujenga slopu ya chumba na sebule!
Ingia uone shughuri yake afu ndo uje uyatamke hayo maneno yako hapa na utuonyeshe hicho kibanda ulichokijenga.
 
naomba kila aliyesoma miaka mitatu au minne na kumaliza akusamehe, maana hujui ulisemalo mdogo wangu!! 600K (assuming hauli na haulipii chumba,hautoi copy yeyote, wala hununui kitu semester nzima) ujenge!?

Ukute mtu kama huyu hajawah onja pesa ya mkopo,kwa upeo wake mfup anadhan n pesa nyiing ambayo haina matumiz,ishike mkonon na majukumu yakupate uone hata kama hyo plot utainunua.
 
Nimekuxoma ubarikiwe sana.
 
Kufaidi kodi ee? huo ni MKOPO NYIE VIJANA MSICHUKULIE KAMA MSAADA AU GAWIO, NI MKOPO UTAKATWA KWENYE MSHAHARA WAKO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…