fordzz
Member
- Mar 26, 2017
- 81
- 67
Habari wakuu, kuna rafiki yangu sehem za siri anaumwa nisijue kaswende au kisonono na yupo katka hali ya kutoa usahaa kwa mujib yeye anavyosema make alianza kwa kuuma baada akiwa anamaliza kukojoa so akawa ameenda famas kuchukua dawa maana maabara kwa huku hazipo kwa ajili ya kupima wakawa wamempa hii dawa ( Azyth 250) Azithromycin , but leo siku ya tatu haon hata dalili zakupona, so nilikuwa na uliza hizo dawa alizo pewa zinatibu huo ugonjwa au kuna aina nyingine za dawa kwa ajili ya ugonjwa husika nilioutaja hapo juu? Wajuz wa haya mambo naomba mumsaidie huyu jamaa make hal ni tete