Ushauri juu ya dawa hizi

fordzz

Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
81
Reaction score
67
Habari wakuu, kuna rafiki yangu sehem za siri anaumwa nisijue kaswende au kisonono na yupo katka hali ya kutoa usahaa kwa mujib yeye anavyosema make alianza kwa kuuma baada akiwa anamaliza kukojoa so akawa ameenda famas kuchukua dawa maana maabara kwa huku hazipo kwa ajili ya kupima wakawa wamempa hii dawa ( Azyth 250) Azithromycin , but leo siku ya tatu haon hata dalili zakupona, so nilikuwa na uliza hizo dawa alizo pewa zinatibu huo ugonjwa au kuna aina nyingine za dawa kwa ajili ya ugonjwa husika nilioutaja hapo juu? Wajuz wa haya mambo naomba mumsaidie huyu jamaa make hal ni tete
 
Mkuu kama ni wewe sema tu, huko pharmacy alipewa dawa na pharmacist? Wauzaji wengine wanatoa dawa bila utaalamu
Inawezekana dose aliyopewa ikawa si sahihi hata hivyo siku tatu ni Chache mno kwa ugonjwa huo
 
Mwambie aende hospitali akapime, hiyo doze ni ndogo sana, kama anatibu vidonda vya koo.....

Asiache kumpeleka na aliye ngonoka naye, iwapo kaumwa baada ya kutozingatia ngono salama.
 
Aaaaah!! Sky Eclat, siwajua huku kijijin walio na smartphone wachache so mm nimekuja likizo tu so nikakuta ana hal kama hiyo hapo nikaona niulize kwa ufafanuz zaid, by the way Asante kwa ushaur
 
Mwambie aende hospitali akapime, hiyo doze ni ndogo sana, kama anatibu vidonda vya koo.....

Asiache kumpeleka na aliye ngonoka naye, iwapo kaumwa baada ya kutozingatia ngono salama.
Mkuu bbade si mbaya kwa yy kwenda ili kujua ukubwa wa tatizo lkn kwa hapa kijijin maabara/zahanat zipo mbal, so waweza mwelekeza ni doz ip aweze chukua kutib huo ugonjwa?
 
Mkuu bbade si mbaya kwa yy kwenda ili kujua ukubwa wa tatizo lkn kwa hapa kijijin maabara/zahanat zipo mbal, so waweza mwelekeza ni doz ip aweze chukua kutib huo ugonjwa?
Mwambie aache uzembe, asipokuwa mwangalifu ataenda amebebwa.
Mambo ya kujaribu dawa hujui ugonjwa yana madhara yake.
Subiria ma dokta wenye uzoefu wa kuandika dawa bila vipimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…