Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
hii itakuko-cost...badilika!!!We dogo wea z yo brain., neva count yo chicks b4 thy ar hachd.., matokeo hayajatoka ushajipangia ! Subiri matokeo.
Kasome Medicine au Engineering ndiyo hutakosa ajira. Kama ulikuwa muoga wa kukosa ajira mbona ulikwenda kusoma mahistoria?Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013. Nimesoma HKL na ninategemea kupata B ya history, B ya kiswahili, na B ya language. Hivyo naomba ushauri wa faculty gani nzuri ya kusoma chuo ambayo haitanisumbua kupata ajira nikigraduate ( faculty iyo iwe tofauti na Education). Asanteni!
MUNGU AWABARIKI!
We dogo wea z yo brain., neva count yo chicks b4 thy ar hachd.., matokeo hayajatoka ushajipangia ! Subiri matokeo.
Subiri matokeo mtihani hausahishwi kwa mdomo ndugu yangu.Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013. Nimesoma HKL na ninategemea kupata B ya history, B ya kiswahili, na B ya language. Hivyo naomba ushauri wa faculty gani nzuri ya kusoma chuo ambayo haitanisumbua kupata ajira nikigraduate ( faculty iyo iwe tofauti na Education). Asanteni!
MUNGU AWABARIKI!
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013. Nimesoma HKL na ninategemea kupata B ya history, B ya kiswahili, na B ya language. Hivyo naomba ushauri wa faculty gani nzuri ya kusoma chuo ambayo haitanisumbua kupata ajira nikigraduate ( faculty iyo iwe tofauti na Education). Asanteni!
MUNGU AWABARIKI!
Hongera utapata Div 1.6Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013. Nimesoma HKL na ninategemea kupata B ya history, B ya kiswahili, na B ya language. Hivyo naomba ushauri wa faculty gani nzuri ya kusoma chuo ambayo haitanisumbua kupata ajira nikigraduate ( faculty iyo iwe tofauti na Education). Asanteni! MUNGU AWABARIKI!
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013. Nimesoma HKL na ninategemea kupata B ya history, B ya kiswahili, na B ya language. Hivyo naomba ushauri wa faculty gani nzuri ya kusoma chuo ambayo haitanisumbua kupata ajira nikigraduate ( faculty iyo iwe tofauti na Education). Asanteni!
MUNGU AWABARIKI!
------- mnaozarau walim kwani ni dhambi kusoma education?wakati mshahara 532000 sasayaaani ukifaulu we n education tu wish all the best
dogo chukua tu ualimu no way out
Kozi zote zinazohusiana na ungwini except business and economics.
We dogo wea z yo brain., neva count yo chicks b4 thy ar hachd.., matokeo hayajatoka ushajipangia ! Subiri matokeo.
Kwa nini usisubiri matokeo ndo upange nini cha kufanya? Nyie ndo hamkawaigi kujinyonga matokeo yakitoka...