Ushauri juu ya fakati za kuchagua (eca)

Lucky One

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
663
Reaction score
431
Habari zenu wanajamvi,natumai sherehe ya iddi pili imeenda vizuri.Nakuja kwenu leo nikitaka ushauri kama kichwa cha habari kinavyosomeka , nilisoma ECA na kwa sasa nipo katika zoezi la kuchagua fakati binafsi navutiwa sana na B.COM in accounts naomba sana ushauri wenu katika hili.kuhusu matokeo,nilipata daraja la pili
natumai mtanipa ushirikiano
NB:si kwamba sina marafiki au ndugu bali nataka tu ushauri wenu
 

Hivi ww unajua maana ya fakati kweli?
 

mkuu hiyo siyo faculty ila ipo katika faculty ya Business.Hiyo ni course.
Back to the topic.: kombi yako ni nzuri ya kupiga BCOM in accounts kama cutoffpoints zako zinaruhusu kwenda Udsm.Kama haziruhusu either nenda Accounts TIA,IFM,IAA
Pia unaeza chagua BAF ya Mzumbe, Ardhi au ushirika Moshi.
#machaguo mema.
 

safi sana mkuu kw ku2elewesha
 
Karibu IAA.. Kusoma bacgelor of finance and banking au bachelor of economics and finance... Zipo poa sana kwa ECA... Maana hata mimi nlisoma ECA .. Umbwe sec
 
With ECA waweza kusoma
B.com Accounting
B.com Finance
B.com Banking&Finance
B.com Marketing
B.com Human Resources
B.com Procurement
B.com International business
B.com Tourism
B.com Small Bussiness Entrepreneurship
B.com Information system
Business Administration
Procurement and Supply
Bachelor of Accounting and Finance
Bachelor of Arts in Accounting and Finance
Bachelor of Economics
Bachelor of Economics and Statistic
Etc ni wewe tu uchague chuo ukipendacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…