Chukua Volvo XC90 nigari nzurii sana chukua ile yenye CC 2500. Hutajuta ushaurii wangu kwanza imekaa poa sana na ina seatrs 7Nashukuru sana kwa ushauri wenu.
Je ni gari gani nzuri ambayo ni 7 seaters kwa familia. Namaanisha hizi suv size ya kati.
Vipi kuhusu spear na ulaji wa mafuta. Kwa mtu wa kawaida anaimudu kuifanyia matengenezo yake yanvyotakiwa. Maana napenda kutunza vitu vyangu viwe safi muda wote.Chukua Volvo XC90 nigari nzurii sana chukua ile yenye CC 2500. Hutajuta ushaurii wangu kwanza imekaa poa sana na ina seatrs 7
Kaka nimeichungulia kwenye mtandao. Naam inaonekana ni nzuri ila bei imesimama.Chukua Volvo XC90 nigari nzurii sana chukua ile yenye CC 2500. Hutajuta ushaurii wangu kwanza imekaa poa sana na ina seatrs 7
Nashukuru sana kwa ushauri wenu.
Je ni gari gani nzuri ambayo ni 7 seaters kwa familia. Namaanisha hizi suv size ya kati.
Hata Klugger 2.4 ziko Poa sanaMkuu 7seaters ni gari ndogo sio za juu kama unavyomaanisha mfano Spacio New Modelunapata 7seaters
Ila kama una budget ya 25M to 30M unaweza pata hii gari Suzuki Escudo I repeat Suzuki Escudo with engine TD54W ya CC1990. Narudia tena simaanishi Suzuki Grand Vitara maana zinafanana na vitara nyingi zina engine kubwa kwahiyo utaingia matatizoni
Spares zipo available na inatumia mafuta vizuri kama 9km per Lita na ukiendesha vizuri unaenda kilomita nyingi zaidi kwa lita
View attachment 480156
View attachment 480158
Hata Klugger 2.4 ziko Poa sana
Shukrani mkuu. Hii Suzuki Escudo inapatika kwa 7 seaters?Mkuu 7seaters ni gari ndogo sio za juu kama unavyomaanisha mfano Spacio New Modelunapata 7seaters
Ila kama una budget ya 25M to 30M unaweza pata hii gari Suzuki Escudo I repeat Suzuki Escudo with engine TD54W ya CC1990. Narudia tena simaanishi Suzuki Grand Vitara maana zinafanana na vitara nyingi zina engine kubwa kwahiyo utaingia matatizoni...
Shukurani kaka Mshana. Naomber ushauri wako tena. Kluger 2.4 na Suzuki escudo aliyoiongelea hapo juu. Hipi ni nzuri zaidi. Bajeti yangu haizidi 25m. Lkn nahitaji gari ya juu (midsize suv kama kluger na suzuki escudo) iwe ni 7 seaters.Hata Klugger 2.4 ziko Poa sana
Chukua Volvo XC90 nigari nzurii sana chukua ile yenye CC 2500. Hutajuta ushaurii wangu kwanza imekaa poa sana na ina seatrs 7
Shukrani mkuu. Hii Suzuki Escudo inapatika kwa 7 seaters?
Shukurani kaka Mshana. Naomber ushauri wako tena. Kluger 2.4 na Suzuki escudo aliyoiongelea hapo juu. Hipi ni nzuri zaidi. Bajeti yangu haizidi 25m. Lkn nahitaji gari ya juu (midsize suv kama kluger na suzuki escudo) iwe ni 7 seaters.