Drip Irrigation:Ni mfumo wa umwagliaji wa matone {Drip irrigation system} ambao unafanya kazi Kama zile za drip hospitalini za kuongezewa maji/damu ambazo uwa tunaziita drip wanasemaga mtu katundikwa drip ya maji.
✓Vitu vinavyo tumika kutengenezea drip irrigation system Ni Kama vile:
•Pump
•Filter/chujio
•Backwash controller/control valve
•Water tank/resouvr/chanzo cha maji
•Main line/pipe
•Gates valves
✓Faida:
•Haki sawa kwa Kila mmea
•Matumizi mazuri ya mbolea
•Kupunguza shida ya magugu shambani
•Matumizi mazuri ya maji
•Inapunguza gharama ya nguvu kazi/changamoto ya nguvu kazi
•Kuongeza uzaaji
•kupunguza mmomonyoko wa ardhi
✓Hasara:
•Ni ghali zaidi kwa maana inaitaji wataalamu has a wakati wa installation ka vile Engineer of water resources & irrigation system napia tank la 2000m linaweza kuchukua kuanzia 1.8m/2m.