kwa anayefahamu jamani naombeni mnisaidie juu ya hili, kwa waliomaliza form six mwaka huu 2014, principle inaanzia ngapi D au C? na je kama mtu katika matokeo yake amepata grades CDE kwa matokeo ya mwaka huu anaweza kujinga na diploma au degree?
Principle inaanzia D so kwa alama hizo unaweza kabisa kujiunga na degree mfano wapo jamaa zangu wana div 4 but wana DD kwenye masomo lakini wamepigwa Mkwawa na Ruaha universities.