Bangida
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 2,406
- 11,258
Waungwana, amani na iwe kwenu.
Bila kupepesa macho, naamini hapa ni sehemu sahihi kwa ajili ya hili suala linalonitatiza. Ntajitahidi nieleze kwa ufupi.
Nipo katika hatua za mwisho za kufanya ukarabati wa nyumba kwa ajili ya kuweka wapangaji. Nyumba ina vyumba 4. Mojawapo ya amenities ambayo nataka kuweka ni heater kwa ajili ya maji moto ndani ya nyumba. Fundi nlienae tumeshauriana tuweke heater 2 maana hvyo vyumba viko 2 kila upande.
Sasa changamoto kubwa ni brand nzuri ya heater. Fundi alisuggest kua niweke heater ndogo ya 6 lts kila upande maana bei yake sio juu sana (alisema around 250k), lakini mimi nilitaka kuweka heater ya lita 30 kila upande.
Kwa maelezo yake anasema Ariston ndo bora lakn bei yake inaanzia 450k na kuendelea.
Mimi katika harakati zangu za mtu mweusi nimepita kwenye duka la HAIER, nkakuta heater hizo za 30lts zipo kwa bei ya 270,000/=. Sasa fundi ananiambia zitanisumbua in the long run lakini mimi budget yangu ni maximum 300k.
Hivyo bas, ushauri wenu utakua msaada mkubwa kuhusu hii kampuni na heater zake maana naona ndo naweza kuafford. Pia kama kuna aina nyingine ambayo ni cost friendly itapendeza pia.
On top of all that, tupeane ushauri kuhusu water heaters in general.
Natanguliza shukrani.