Ushauri juu ya kilimo na biashara ya vitunguu

iron finger

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
358
Reaction score
220
Habari zenu wakuu? Poleni na majukumu na mihangaiko ya kila kukicha,mimi ni kijana mwenzenu ambaye ni mkulima wa zao la vitunguu na pia nafanya biashara ya kuuza na kununua zao hilo,nimekuwa katika kazi hii kwa muda wa miaka miwili na nusu sasa,hivyo kidogo ninajua nini kinaendelea kwenyd kazi hii.ndani ya mwaka huu nimeshudia vijana wengi sana wakiingia katika kazi hii kwa kulima ama kuuza na yote imechangiwa na masimulizi wanayopata kuwa kazi hii inalipa.ni kweli inalipa ila wengi wao wanapata hasara na kujikuta mitaji inakata kwa kuwa wanaingia kwa kukurupuka bila kufanya utafiti matokeo yake huambulia hasara,hivyo nimeamua kwa dhati na bure kabisa kuwa mshauri wa wadau wote wanaotaka kufanya kazi hizi,jinsi ya kunipata nipm ntakupa mawasiliano yangu.
 
Nimekusoma mkuu...naomba tuwasiliane kwa pm tuweze kuunganisha mawazo na kusukuma gurudumu la maendeleo.
 
Habari zenu wakuu?
Poleni na majukumu na mihangaiko ya kila kukicha,mimi ni kijana mwenzenu
ambaye ni mkulima wa zao la vitunguu na pia nafanya biashara ya kuuza
na kununua zao hilo,nimekuwa katika kazi hii kwa muda wa miaka miwili na
nusu sasa,hivyo kidogo ninajua nini kinaendelea kwenyd kazi hii.ndani
ya mwaka huu nimeshudia vijana wengi sana wakiingia katika kazi hii kwa
kulima ama kuuza na yote imechangiwa na masimulizi wanayopata kuwa kazi
hii inalipa.ni kweli inalipa ila wengi wao wanapata hasara na kujikuta
mitaji inakata kwa kuwa wanaingia kwa kukurupuka bila kufanya utafiti
matokeo yake huambulia hasara,hivyo nimeamua kwa dhati na bure kabisa
kuwa mshauri wa wadau wote wanaotaka kufanya kazi hizi,jinsi ya kunipata
nipm ntakupa mawasiliano yangu.

kiongozi nime PM tafadhari tuwasiliane
 
Back
Top Bottom