Ushauri juu ya kuanza biashara ya ufugaji wa kisasa wa kuku

Ushauri juu ya kuanza biashara ya ufugaji wa kisasa wa kuku

Corner stone

Member
Joined
Jan 3, 2020
Posts
32
Reaction score
30
Habari wana JF!, Poleni na Hongereni katika harakati za kuzuia mikono isibanduke kwenye vinywa vyetu na wale tunaowapenda.. Ni kwa muda nilihitaji kuanza biashara,ya ufugaji wa kisasa wa kuku ila nimekosa muongozo.. kwa ambao ni wazoefu ningependa mnipe mentorship kwenye suala la mtaji, mazingira, soko and all stuffs.. natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom