Ushauri juu ya kuanza ufugaji wa kisasa wa kuku

Ushauri juu ya kuanza ufugaji wa kisasa wa kuku

Corner stone

Member
Joined
Jan 3, 2020
Posts
32
Reaction score
30
Habari wana JF!

Poleni na Hongereni katika harakati za kuzuia mikono isibanduke kwenye vinywa vyetu na wale tunaowapenda.. Ni kwa muda nilihitaji kuanza biashara, ya ufugaji wa kisasa wa kuku ila nimekosa muongozo..

Kwa ambao ni wazoefu ningependa mnipe mentorship kwenye suala la mtaji, mazingira, soko and all stuffs.. natanguliza shukrani
 
Unataka kufuga kuku kwanza jiunge na makundi ya wafugaji WhatsApp huko utapata masoko, utapata elimu na kuku madaktari wa mifugo. .

Tuanzie hapa. Uko wapi sasa? ambapo unataka kufugia
 
Back
Top Bottom