Mkuu utatoa vipi ushauri kuhusu kodi wakati hata VAT return hujui kiasi ganiHabari ndugu zangu JF?
Kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira, nimekuwa na wazo la kujiajiri kwa kuzingatia taaluma yangu na ujuzi kiasi katika masuala ya sheria ya kodi na usimamizi, na pia uchumi.
Lengo langu hasa ni kujikita katika masuala ya wa kodi.Ninachooma kusaidiwa ni yafuatayo:
1. Je huduma hii bado ina kipato kizuri kwa small firms?
2. Kwa kawaida malipo ni kiasi gani kwa maandalizi ya hesabu(Yearly Financial Statements,VAT returns e.t.c)?, naomba kupewa wastani, natambua workload zinatofautiana kulingana na kazi inayopatikana.
Thanks in advance,Natanguliza shukrani zangu kwenu
Nadhani haujaelewa ninachouliza, nimemaanisha kwa mfano mi nina biashara nikitaka wewe kama business consultant uniandalie hesabu za VAT utataka malipo kiasi gani, kwa hiyo nilitaka kujua wastani wa bei.Mkuu utatoa vipi ushauri kuhusu kodi wakati hata VAT return hujui kiasi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah umenivunja mbavu, nadhani kwa mantiki yako hata delloitte,kpmg na firms nyingine zisingekuwepo,Fanya wewe hiyo biashara unayotaka kushauri watu waifanye. MATENDO NI NGUVU, WATAJIFUNZA HAPO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anapotaka kujua wastani wa bei ya bidhaa au huduma fulani we unaona ni sawa kuhitaji apangiwe bei ya bidhaa au huduma anayotaka kuitoa?
Nimehitaji kujua wastani wa bei, sio kupangiwa bei, au kwa uelewa wako kwa mfano kama kampuni inaandaa mradi halafu katika study yao wakataka kujua prevailing salary scale, je wanakuwa wanataka uwapangie mshahara?
Niwie radhi mkuu rudisha laana ulizonipa. Nitajaribu kuwa mwelewa zaidi mbeleni hata pale ninapichukizwa na uvivu wa waziMtu anapotaka kujua wastani wa bei ya bidhaa au huduma fulani we unaona ni sawa kuhitaji apangiwe bei ya bidhaa au huduma anayotaka kuitoa?
Nimehitaji kujua wastani wa bei, sio kupangiwa bei, au kwa uelewa wako kwa mfano kama kampuni inaandaa mradi halafu katika study yao wakataka kujua prevailing salary scale, je wanakuwa wanataka uwapangie mshahara?
Sikujui lakini inaonekana we ni mtu wa kejeli,kebehi na ngebe kutokana na matokeo fulani mazuri ya kimaisha ambayo unayo. Mungu akulinde sana cuz mambo yakibadilika hata watu wako wa karibu watakukataa.
Ww unajua VAT Return ni kiasi gani au unajua rate ya VAT?? Acha kujifanya unajua mambo wakati hujui..Mkuu utatoa vipi ushauri kuhusu kodi wakati hata VAT return hujui kiasi gani
Sent using Jamii Forums mobile app