mari mari
Member
- Sep 25, 2014
- 55
- 5
Memberz habar za jion nikijana ambaye naitaji ushauri wenu kuhusu kufungua kampuni tuna grp mtaani kwetu na tumepata wazo lakufungua kampuni je ni kampuni ya haina gani itatufaa kwenye kundi letu tupo vijana 53 na kwann tufungue haina iyo ya kampuni naomben ushaur wenu jaman