kufungua kampuni ni wazo zuri sana. kuna aina tofauti tofauti za makampuni mfano kuna public company,private company haya yanaweza kuna limited by share au guarantee, kuna patinership,sole trade, joint venture. sasa ili kuchagua ni kipi bora kwa nani lazima tuangalie baadhi ya mambo mfano idadi ya watu, uhusiano mnapenda uweje, share zenu mnapenda ziwe vip, malengo yenu, liability zenu, uendeshaji, mtaji wenu upo vip haya ni baadhi tu yanayoweza kusaidia nini kinafaa kwa nani kutokana na mahtaji ya wahusika ningekuwa na mawasiliano ningekuoji ili nipate maelezo zaidi alafu nikwambie ipi inafaa kwenu