Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 643
Habari wakuu...
Nilianza kuugua macho tangia nikiwa darasa la kwanza nilikuwa siwezi ona vizuri ubaoni ila tatizo hilo nililiona la kawaida hadi mwaka 2013 nikaamua kwenda CCBRT na kufanya vipimo na kupewa dawa na maagizo mengine ya kiafya....
Mwaka 2014 nikiwa form three niliatakiwa nianze kuvaa miwani kwa kuniwezesha kuona mbali kwa tatizo langu la (LONGSIGHTNESS) yenye vipimo vya 3.5 au 3times 5...
Baada ya kuanza kutumia miwani hiyo mwaka huo nimekuwa nikibadilisha miwani kwa wauzaji wa miwani KARIAKOO na bila kufanya checkup yoyote tena.....
Kwanini nimekuja hapa...
Naombeni mnishauri je niende kufanya checkup tena maana sijawahi ona tatizo lolote lilitoke tangu nimeanza kutumia miwani na kubadiliaha pia...??
Je ni kweli kuna dawa ya kupona macho nje na miwani kwa tatizo langu...
ASANTE...