Pole sana wana Jf kwa shughuli za kila siku. Naomba ushauri wenu juu ya mambo ninayoweza kumfanyia msichana wangu tunayependana sana akayaendeleza mapenzi yetu mpaka Mungu atakapoamua kututenganisha?