Ushauri juu ya Matatizo ya Mgongo kwa mwenye umri wa miaka 58 hadi 65

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wadau kwanza salamu!

baada ya salamu naomba ushauri wa kitaalamu juu ya maumivu makali ya mgongo au kama kuna mwenye kufaham walipo madaktari wa tatizo hilo anielekeze tafadhari.
 
Wadau kwanza salamu
baada ya salamu naomba ushauri wa kitaalamu juu ya maumivu makali ya mgongo au kama kuna mwenye kufaham walipo madaktari wa tatizo hilo anielekeze tafadhari.

Umeenda hospitali gani ukaambiwa hilo tatizo halina dokta anayeweza kulitibu?
 
Back
Top Bottom