baada ya salamu naomba ushauri wa kitaalamu juu ya maumivu makali ya mgongo au kama kuna mwenye kufaham walipo madaktari wa tatizo hilo anielekeze tafadhari.
Wadau kwanza salamu