Wasalaam.
Binafsi ningependa kupata ufafanuzi juu ya matumizi ya mbolea za asili kama samadi ambayo ninaweza nikaipata kupitia mifugo inayopatikana katika eneo langu kama vile ng'ombe, mbuzi na kuku katika kilimo cha mazao mbalimbali ya chakula ikiwemo mahindi.
Naombeni ushauri wenu juu ya wazo langu hili ili niachane na utegemezi wa mbolea za viwandani ambazo upatikanaji wake ni mgumu katika mazingira niliyopo pia ni gharama na inasemekana kuwa zinachosha ardhi.
Samadi Ni nzuri Sana. Lakini kwa eneo ulilikuwa ukitumia mbolea za viwandani inabidi ulipumzishe angalau kwa misimu miwili ndipo uweke samadi na kulilima
Samadi Ni nzuri Sana. Lakini kwa eneo ulilikuwa ukitumia mbolea za viwandani inabidi ulipumzishe angalau kwa misimu miwili ndipo uweke samadi na kulilima