Wakuu katika jukwaa hili, salaam.
Nakuja kwenu kuomba ushauri juu ya matumizi mazuri ya kilevi (WISKY) hasa aina ya GRANTS.
Nikili kabisa kuwa mimi si mtumiaji wa pombe, lakini kwa sababu mbalimbali za kiafya nimejikuta nashauriwa na baadhi ya marafiki kuwa nianze kutumia GRANTS au KONYAGI hasa wakati wa usiku napotaka kulala. Hii ni baada ya kushindwa kabisa kutumia bia kwasababu sioni utamu wake wala faida yake kiafya.
Lakini kwa upande wa GRANTS na KONYAGI nimeambiwa( sijawa na uhakika) kuwa zinauwezo wa kusaidia kupunguza unene, kuondoa corestrol mwilini na pia kusaidia mmeng'enyo mzuri wa chakula na kubalance uzito wa mwili.
Nimejaribu KONYAGI, ki ukweli taste na harufu yake havinivutii na sioni kama naweza kuimudu. Kwa upande wa GRANTS taste yake nimeipenda na ina harufu nzuri kiasi kwamba naweza kuimudu.
Tatizo langu ni kwamba; hizi pombe zinasemekana ni kali sana hivyo kupelekea kuharibu ini kwa urahisi sana, Matumizi sahihi ni yapi? Naweza kutumia kiasi gani kwa siku? na je, ni kweli hizi pombe zinaondoa corestrol mwilini na kupunguza unene?
Tafadhali, naomba msaada wenu