Heshima yenu wataalamu!
Nataka kununua moderm huku niliko (siyo Tanzania) kwa ajili ya matumizi ya matumizi nikirudi huko nyumbani(sitaki kuikosa jf), ila tatizo langu ni kwamba sina hakika kama mitandao ya hapo nyumbani itazitambua au itazikataa? nilikuwa nafuatilia mjadala wa ku-unlock moderm za huawei, nikashawishika kuzitafuta hizo moderm maana naona wengi ndo wanatumia sasa sijui wataalamu mnaniambiaje?
Kwanza, sahihisha kidogo hicho kifaa cha kukuunganisha kwenye "Internet" kinaitwa MODEM...
Pili, hapa Bongo MODEM zipo tele, just save $100 utapata kutoka mtandao wowote ...
Tatu, Unaweza kuja nayo, na ukifika hapa mjini wataalamu watakusaidia ku-unlock assuming kama ipo locked
Karibu tena Nyumbani
Heshima yenu wataalamu!
Nataka kununua moderm huku niliko (siyo Tanzania) kwa ajili ya matumizi ya matumizi nikirudi huko nyumbani(sitaki kuikosa jf), ila tatizo langu ni kwamba sina hakika kama mitandao ya hapo nyumbani itazitambua au itazikataa? nilikuwa nafuatilia mjadala wa ku-unlock moderm za huawei, nikashawishika kuzitafuta hizo moderm maana naona wengi ndo wanatumia sasa sijui wataalamu mnaniambiaje?
Sio Lazima iwe huwawei Nunua Modem brand yeyote ya GSM iliyo unlocked. Ina maana ukija bongo utatumia kwenye mitandao wowote.
Cha muhimu hakisha specification za modem ni nzuri hasa uwezo wa kusafirisha data.
usije ukanunua modem ikawa bootleneck . kwamba kampuni ya simu inaruhsu upload/dowload kubwa zaidi kuliko modem yako. Bora modem iwe na uwezo mkubwa kuliko capacity inayoruhusiwa na provider.
Heshima yenu wataalamu!
Nataka kununua moderm huku niliko (siyo Tanzania) kwa ajili ya matumizi ya matumizi nikirudi huko nyumbani(sitaki kuikosa jf), ila tatizo langu ni kwamba sina hakika kama mitandao ya hapo nyumbani itazitambua au itazikataa? nilikuwa nafuatilia mjadala wa ku-unlock moderm za huawei, nikashawishika kuzitafuta hizo moderm maana naona wengi ndo wanatumia sasa sijui wataalamu mnaniambiaje?
Usinunue modem yenye kutumia teknolojia kama ya sasatel yaani evado na something like cdma, hazichakachuliki
EVdo Modems zinaweza kuwa programmed and do work with another CDMA network inachotakiwa kuwa na Wright software,kuwa ESN ya Modem usika na wright A-Key.
Nnasema haya kwani nimeshawai ku unlock TTCL CDMA modem na kuifanya I work na Zantel network.
Nilitumia qualcomm PST software.( Qualcomm Product Support Tools)
Most CDMA phones and Modem use Qualcom CPU iwe Huawei,ZTE,Motorola etc.

Drphone sina fikira hiyo ni kutaka kujua tu ndugu yangu hii technolojia na mkuu Paulss nimekusoma ngoja niitafute