Ushauri juu ya psrs

sam mirror 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2022
Posts
969
Reaction score
2,318
Habari, poleni na majukumuu ya kazi Kuna rafiki angu kaomba ushauri juu ya hili swala nimeshindwa kumshauri naombeni mawazo yenu


kama kawaida katika kupambana na utumishi akafanikiwa kufika oral na kupangiwa kituo cha kazi


Shida imeanzia apa baada ya ku report kituo cha kazi wanamwambia sisi tunahitaji mtu tofauti na wewe yaani kada nyingine Apo katumia gharama za usafiri na ni mbali na anapotoka


Baada ya kuwasiliana na utumishi akaambiwa atapangiwa kituo kipya lakini toka waanze kutoa placement hakuna jina lake yupo na stress za hatari

Ungekuwa ndo wewe ungemshauri kitu gani

Asante.
 
Kwani ukisema ni wewe ni kosa?
Pole mkuu pambana mpaka upangiwe kituo wafate ofisini kwao kila la kheri
 
Icho kitu hakipo utumishi wakisha kupangia kituo basi hakina anaye weza kukukataa
 
aliingia kimagumashi au? mbona case mpya hii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…