Ushauri juu ya suala hili

Ushauri juu ya suala hili

BEST ONE BOY

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
309
Reaction score
221
Habari zenu wana Jf. ..

Jamani moja kwa moja niende kwenye mada naomba ushauri juu ya suala hili linanipa wakati mgumu sanaa mm kijana mwenzenu. ....

Kua hapo awali nilikua ninasumbuliwa na ngiri maji tangu mtoto kabisa nilipelekwa hospitali na kufanyika small surgery mbili ilaa baada ya miaka kadhaa shida ambayo napata tena kuwa nina ulcers mana tumbo linajaa gesi na pia choo napata kama cha mbuzi na pia performance ya kitandani ndogo sana pia haka kadudu (kiba100) changu mda mwingine kinakuwa kidogo hatari kama mtoto mchanga. ..


Dawa za hospitali nimetumia sana bila ya mafanikio aiseee..

Ushauri ili na mimi niwe katika hali ya kawaidaa
 
Back
Top Bottom