Ushauri juu ya Suzuki Escudo Nomade V.6

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Wadau,habari.Naombeni ushauri juu ya gari hili
1.Upatikanaji wa Vipuri
2.Ulaji wa Mafuta
 
ushauri ni pesa tu mafuta yapo petrol station vipuli vipo madukani ukikosa unaagiza. Watu wanazikimbia brevis ila nina mshkaji wangu kaitoa japani mbichii na hawazi wala nn.
 
Wewe ni yule uliepata mkopo toka kampuni yako ya vifaa vya kuchorongea mashimo,nakumbuka ulisema utanunua na kila nkipita naiona mlangoni kwako,ya rangi nyeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…